Thursday 8 August 2013

Utafiti uliofanywa na kampuni ya JL katika jiji la Mbeya

Kampuni ya JL ilitembelea katika maguba kama inavyoonekana katika picha za hapo chini ,Maguba hayo ni hatarishi kwa wakazi waishio karibu na maeneo husika,hususani watoto kama inavyoonekana katika picha.lakini pia inaweza kuwa chanzo cha mlipuko wa magonjwa kama vile kipindupindu,macho,kuhara,harufu mbaya n.k

Kampuni ya JL imejipanga kwa kushirikiana na mamlaka husika na wadau mbalimbali kutatua tatizo hili kwa kuzoa taka hizo na kutoa elimu kwa wananchi wanaoishi katika eneo husika.


Hili ni Guba lililopo eneo la Airport kata Iyela jijini Mbeya.Hili ni mfano wa Guba  linalotakiwa kufanyiwa kazi  na kampuni ya JL.

Hili ni Guba lililopo katika eneo la Isanga sokoni katika kata ya Isanga,lililo karibu na makazi,soko na uwanja wa mpira wa watoto kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu.

No comments: