Thursday 15 August 2013

Utupaji wa taka ovyo na kutopanda miti

Maeneo kama haya yanahitaji kupanda miti ili yaweze kuwa na muonekano mzuri na kuweza kuzuia vumbi kwa wananchi walio karibu na barabara


picha hapo juu inayoonyesha utupaji wa taka ovyo,utupaji ovyo wa taka unaweza kusababisha magonjwa ya mlipuko kwa wananchi waishio karibu na guba hili kama linavyoonekana.

Monday 12 August 2013

Matukio ya nanenane Mbeya kama yalivyokuwa

Hivi ndivyo shamrashamra katika viwanja vya nanenane Mbeya na watu mbalimbali walikuwa na pilikapilika huku na huku wakitaka kujua kile kiliochojili katika viwanja hivyo.

Na hili ni banda la cocacola na vodacom
Tigo nao hawakuwa mbali kama ilivyoonekana katika picha hapo chini
Hawa ni watu waliokuwa waliojitokeza kwa ajili maonyesho ya nanenane katika viwanja vya John Mwakangale Mbeya.

Huo ni umati mkubwa wa watu waliokuwa wanasubilia kuingia katika uwanja huo.

Hii ni Ramani ya ndani ya uwanja wa John  mwakangale.

Wananchi mbalimbali wakionekana katika moja ya ofisi za waandaaji wa maonyesho hayo.

Thursday 8 August 2013

Utafiti uliofanywa na kampuni ya JL katika jiji la Mbeya

Kampuni ya JL ilitembelea katika maguba kama inavyoonekana katika picha za hapo chini ,Maguba hayo ni hatarishi kwa wakazi waishio karibu na maeneo husika,hususani watoto kama inavyoonekana katika picha.lakini pia inaweza kuwa chanzo cha mlipuko wa magonjwa kama vile kipindupindu,macho,kuhara,harufu mbaya n.k

Kampuni ya JL imejipanga kwa kushirikiana na mamlaka husika na wadau mbalimbali kutatua tatizo hili kwa kuzoa taka hizo na kutoa elimu kwa wananchi wanaoishi katika eneo husika.


Hili ni Guba lililopo eneo la Airport kata Iyela jijini Mbeya.Hili ni mfano wa Guba  linalotakiwa kufanyiwa kazi  na kampuni ya JL.

Hili ni Guba lililopo katika eneo la Isanga sokoni katika kata ya Isanga,lililo karibu na makazi,soko na uwanja wa mpira wa watoto kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu.

About the Company

JL Company a newly registered company on 16th July,2013 with Reg No.267645 owned by mother & sons and currently operating in the southern zone of Tanzania with headquarters in Mbeya but expecting to expand all over Tanzania and East Africa in the near future. Dealing with e-school management, cleaning and fumigation,Tourism, partners in environmental conservation,humanitarian duties and providing different training courses like CV’s writing, job interview techniques and youth awareness programs. The company will be working with schools, offices, development groups,society and other companies. With the highly trained staffs and a well arranged management the company is expected to grow at a rate on more than fifty percent every year and maintain the website to accommodate many users. The company is operating with the motto Best, Reliable and Quality Service

Company source of fund
  • Donors

  • Company activities

  • Sponsorship