Monday 12 August 2013

Matukio ya nanenane Mbeya kama yalivyokuwa

Hivi ndivyo shamrashamra katika viwanja vya nanenane Mbeya na watu mbalimbali walikuwa na pilikapilika huku na huku wakitaka kujua kile kiliochojili katika viwanja hivyo.

Na hili ni banda la cocacola na vodacom
Tigo nao hawakuwa mbali kama ilivyoonekana katika picha hapo chini
Hawa ni watu waliokuwa waliojitokeza kwa ajili maonyesho ya nanenane katika viwanja vya John Mwakangale Mbeya.

Huo ni umati mkubwa wa watu waliokuwa wanasubilia kuingia katika uwanja huo.

Hii ni Ramani ya ndani ya uwanja wa John  mwakangale.

Wananchi mbalimbali wakionekana katika moja ya ofisi za waandaaji wa maonyesho hayo.

No comments: