Monday 11 November 2013

HOTUBA MBAYA DHIDI YA WATU WEUSI.

  • P W Botha na ubaguzi wa rangi Afrika kusini
  •  Alikiri kuwaua weusi kwa sumu
  • Pieter Willem Botha
  •  Mweusi ni malighafi ya mweupe.“ Kaka na dada zangu, Pretoria imetengenezwa na watu weupe kwa ajili ya  watu weupe na hatuna haja ya kuuthibitishia umma au mtu mweusi kuwa sisi ni watu bora, tumekua tukiwaambia watu weusi kwa njia elfu.
Afrika kusini tumeitengeneza kwa kutumia akili nyingi, jasho na damu, mnaposema tunawabagua weusi sielewi. Sisi sio wanafiki kama wazungu wenzetu wafanyavyo kwamba wanawapenda watu weusi. Ukweli ni kuwa weusi wanaofanana na binadamu na kutenda mambo kama binadamu hayawahalalishii wao kuwa watu wenye akili timamu au binadamu aliyetimia. Katika upeo sisi ni bora kuliko weusi hilo halina ubishi kwani limejidhihirisha kwa miaka mingi iliyopita kwa maana hiyo mweusi ni malighafi kwa mweupe.
Hivyo basi kaka na dada zangu hebu tuungane kumpiga vita huyu shetani mweusi. Kwa hakika Mungu hawezi kuwatupa watu wake ambao ni sisi, hadi sasa imeonekana kwa vitendo kuwa weusi hawawezi kujitawala; wape bunduki kama hawajaanza kuuana, hawana lolote jema isipokuwa mashujaa wa kupiga kelele, kucheza ngoma na kuoa wanawake wengi. Hebu sasa tukubali kuwa mtu mweusi ni alama ya umaskini, udumavu wa akili, uvivu na aliyekosa ushindani.
Nelson Mandela Akiwa Gerezani
Kwa hiyo tunasababu nzuri kuwapeleka akina Mandela jela waozee huko.
Napenda kuwatangazia mikakati mipya ya kuwaangamiza hawa weusi. Tutumie sumu kuwamaliza, kamwe tusiruhusu idadi ya watu hawa iendelee kukua vinginevyo tutakwisha. Tayari nimeshawaleta wanasayansi ambao wamekuja na sehemu kubwa ya mzigo wa sumu na ninawasaka watafiti wengine zaidi waangalie sehemu murua za kuitumia sumu hiyo kwa lengo la kuangamiza weusi. Sehemu nzuri ya kuwaangamiza ni hospitali na katika usambazaji wa chakula, sumu hii inapunguza uwezo wa uzazi na kuua taratibu. Pia watu weusi wanapenda sana pesa hivyo tunaweza kuwatenganisha kwa njia hiyo, mweusi amchukie mweusi mwingine. Hawana upeo wa kufikiri na huyu ndie kiumbe dhaifu kisicho na akili ya kuona mbali. Ninayo kamati inayoratibu na kuangalia njia nzuri ya kuwafanya watu hawa wachukiane na wauane wenyewe kwa wenyewe. Adhabu ya mweusi aliyemuua mwenzie iwe ndogo ili kuwapa hamasa ya kuendelea na mauaji.

Steve Biko
Rekodi zinaonesha pia kuwa mtu mweusi anapenda sana mwanamke mweupe, hii ni nafasi nzuri kwetu . Wanawake wetu watumike kuwaangamiza wanaume weusi na wanaume wetu pia wajitahidi kuwatafuta wanawake weusi ili kutimiza lengo hilo.
Ombi langu la mwisho ni kwamba wajawazito wanapozaa hospitalini, watoto lazima wauawe pindi tu wanapotoka tumboni. Hatuwalipi wale wauguzi kwa ajili ya kutuletea watoto weusi katika dunia hii bali kuwaangamiza. Serikali yangu imetenga fungu maalum la pesa kw ajaili ya kujenga hospitali na kliniki ili kufanikisha mpango huo. Pesa inafanya lolote na kwa vile tunazo tuzitumie ipasavyo.
Kwa muda huu ndugu zangu weupe, msiyaweke moyoni yanayosemwa dhidi yenu na wala msione aibu kuitwa wabaguzi na wala sijali kuitwa mhandisi na Mfalme wa Ubaguzi. Nitabaki kuwa nyota inayong’aa………….. MTUKUFU BOTHA, leo naondoa mawingu;kesho nitajaribu milima”  HII NI HOTUBA YA ALIYEKUWA RAIS WA AFRIKA KUSINI KWA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI wakati wa utawala wa ubaguzi wa rangi nchini humo. Ilichapishwa na gazeti la SUNDAY TIMES la nchini humo toleo la Agosti 18, 1985.

Mwalimu Julius Kambarage Nyerere
Hotuba hii ilikuwa maalum kwa watu weusi wa Afrika kusini lakini leo hii mambo yaliyozungumziwa dhidi ya waafrika yanadhihirika hata Tanzania pia. Tunauana kwa tamaa ya mali na pesa, mapenzi na chuki zisizo na kichwa wala miguu. Tunahitaji sana kubadilika watanzania sisi ni ndugu mbali ya tofauti za dini, siasa, uchumi au kabila. Tulinde amani yetu kwani ni heshima ya Taifa letu ulimwenguni kote. Kwa heshima ya mwalimu tuenzi harakati zake za kuipatia nchi yetu uhuru kwa kudumisha AMANI.



No comments: