- Gari ya abiria (Hiace) yagongana na IT.
- Watu wajeruhiwa vibaya.
Raia wakijaribu kuokoa majeruhi ndani ya IT iliyokuwa ikielekea Zambia. |
Wananchi wakivunja vioo na milango ili kumuokoa abiria aliebanwa ndani ya IT. |
Hivi ndivyo inavyoonekana daladala baada ya majeruhi kutolewa na kuwahishwa hospitali ya Rufaa Mbeya. |
Daladala iliyokuwa ikielekea Uyole. |
Wakazi wa Ilomba wakishirikiana kutoa IT kwenye mtaro. |
Askari wa usalama barabarani akiwa eneo la tukio. |
No comments:
Post a Comment