Thursday 12 December 2013

Together we stand, divided we fall

Kikundi cha wajasiliamali Mwambene, Ilomba jijini Mbeya wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kikao. Ni vijana wabunifu na kila mmoja akimiliki biashara yake kwa kuingiza kipato.











Vijana hawa hushauriana ni jinsi waweze kuendeleza biashara zao, kufanya miradi ya pamoja; mpaka sasa wanamiliki bajaji na bodaboda ambao ni mradi wa kikundi, kukopeshana kwa riba nafuu na kushauriana kibiashara.

No comments: